Top Ad unit 728 × 90

.

Fergie Wa Black Eyed Peas Azungumzia Kufunikwa Na Iggy Na Minaj,Album Mpya.

Mwanamke pekee kwenye kundi la Black Eyed Peas Fergie amezungumzia ujio wake mpya na kuthibitisha kuwa anafanya wimbo na Nikki Minaj. 

Hii itakuwa album ya kwanza ya Fergie baada ya miaka nane, wasanii wengine walioshirikishwa ni Mike WiLL Made-It, Rae Sremmurd na Will.I.Am, Wimbo uliotoka mpaka sasa ni L. A Love na ameshirikishwa rapper YG na kwa mara ya kwanza atafanya show na wimbo huo kwenye tuzo za muziki za Marekani zitakazofanyika November 23.

Kuhsu vipaji vipya kwenye muziki kama Nicki Minaj na Iggy Azalea Fergie amesema "Sioni kama ni washindani wangu hawa wasanii kwani kila mtu ana watu wake,hakuna ushindani hapo"

Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook    
Fergie Wa Black Eyed Peas Azungumzia Kufunikwa Na Iggy Na Minaj,Album Mpya. Reviewed by Unknown on Thursday, November 13, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.