Shirika la Afya Duniani,Hii Idadi Ya Watu Waliofariki Dunia Kwa Mlipuko Hatari Wa Ebola.
Idadi ya watu waliofariki dunia kwa mlipuko hatari wa Ebola, imeongezeka hadi kufikia 5,160, Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema.
Shirika hilo limesema ongezeko la mambukizi mapya ya ugonjwa huo linaonekana kutokuwepo katika nchi za Guinea na Liberia hata hivyo linaonekana kuendelea kuwa juu katika nchi ya Sierra Leone.
Shirika hilo limesema ongezeko la mambukizi mapya ya ugonjwa huo linaonekana kutokuwepo katika nchi za Guinea na Liberia hata hivyo linaonekana kuendelea kuwa juu katika nchi ya Sierra Leone.
Shirika la Afya Duniani,Hii Idadi Ya Watu Waliofariki Dunia Kwa Mlipuko Hatari Wa Ebola.
Reviewed by Unknown
on
Thursday, November 13, 2014
Rating: