Hii Namba Ya Wanaume Wanaopigwa Na Kukatwa Sehemu Za Siri Kenya Na Wanawake Zao
Wanaume wapatao 310 nchini Kenya wamepigwa na wanawake wao katika mwaka huu, ambapo miongoni mwao 110 walikatwa sehemu zao za siri.
Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo ya Wanaume Kenya, Bw. Nderitu Njoka, amesema miongoni mwa wahanga hao wapo pia wanaume ambao wameunguzwa kwa kumwagiwa maji ya moto na tindikali.
Hii Namba Ya Wanaume Wanaopigwa Na Kukatwa Sehemu Za Siri Kenya Na Wanawake Zao
Reviewed by Unknown
on
Thursday, November 13, 2014
Rating: