Top Ad unit 728 × 90

.

Hii Post Ya Diamond Kuhusu Meda, Msanii Aliyeimba Wimbo Wa Barua Kwa Diamond

Kwenye Exclusive interview na Meda, Aliiambia Sammisago.com kuwa anamkubali Diamond na kwamba huko kwao Iringa yeye ndio balozi wa Diamond, alipitia tabu sana kumtafuta miaka miwili iliyopita na sasa amefanya wimbo huu kama zawadi kwake na pia kuonyesha anavyo mkubali.

Hii post ya Diamond kuhusu kazi ya Meda.
"Kiukweli simfahamu... Sijawai hata kumuona, Wala kuzungumza nae.....na sio kwasababu Eti kaniimba mimi, hapana!... ila ni Userious na uzuri wa kazi aliyoifanya ndio vimenifanya nione ni vizuri kumleta kwenu hapa wadau ili kwa pamoja tumsupport naye kesho na keshokutwa afikie malengo ya kazi yake na kuwa Balozi mzuri wa nchi yetu kupitia Bongo flavour..Huyu hapa! anaitwa MEDA kutoka IRINGA"

Hii ndio video ya Meda Na Wimbo Wake.


Una comment yeyote kuhusu hii Stori, Naiomba hapo chini mwanangu, Pamoja Sana
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook   
Hii Post Ya Diamond Kuhusu Meda, Msanii Aliyeimba Wimbo Wa Barua Kwa Diamond Reviewed by Unknown on Tuesday, November 18, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.