Top Ad unit 728 × 90

.

Umeona Video Mpya Ya Avril 'Nikimuona', Ndio Hii

Avril '28' alitambulishwa kwenye muziki Afrika Mashariki na nyimbo zake kama Mama, Mimi na wewe, Hakuna Yule na kitu kimoja. Baada ya show nyingi tu kupitia hit song yake Chokoza aliyofanya na Mayra, alikaa kimya kwa muda huku pakiwa na uvumi kuwa mpenzi wake mpya ndiye anachukua muda wake zaidi.
Hii video mpya ya Avril inaitwa Nikimuona, Nipe Comment yako kuhusu video hii hapo chini Mwanangu.


Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook   



Umeona Video Mpya Ya Avril 'Nikimuona', Ndio Hii Reviewed by Unknown on Tuesday, November 18, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.