Top Ad unit 728 × 90

.

Hizi Picha Za Amini Akiagwa,Ametoka THT November 10,2014

 
Jumba la vipaji Tanzania THT limemuaga rasmi kijana wao Amini November 10 2014 baada ya mafunzo na kufanya nae kazi kwa mafanikio kwa miaka 9. 

Amini amekuwa msanii wa pili kuagwa na kupata usimamizi mpya baada ya Linnah kuhamia No Fake Zoke Katokati ya mwaka huu. 

Wimbo wa kwanza kutoka kwa Amini utaitwa Mbeleko, Video na Audio ziko tayari kutoka. Amini atasimamiwa na kampuni ya BME.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook 


Hizi Picha Za Amini Akiagwa,Ametoka THT November 10,2014 Reviewed by Unknown on Tuesday, November 11, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.