Top Ad unit 728 × 90

.

Picha, Baada Ya Kupatanishwa Sasa Wema Na Penny Nikama Best Friends,Waanza Kutembeleana.

Baada ya kupatanishwa jumamosi ya November 8 2014, Wema na Penny sasa wameamua kuonyesha wazi kuwa hakuna beef kati yao na mambo yote yako wazi. Penny ameonekana akiwa karibu na Wema nyumbani kwake hivi karibuni.
Wanasema ni ngumu kuwa mabinti wawili waliowahi kuwa na mahusiano na mwanaume moja kubaki marafiki, Ni kweli Hii ?

Picha, Baada Ya Kupatanishwa Sasa Wema Na Penny Nikama Best Friends,Waanza Kutembeleana. Reviewed by Unknown on Tuesday, November 11, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.