Ikiwa Haija Poteza Mchezo Hata Mmoja, Simba Yashinda Dhidi Ya Ruvu Shooting.
Sports Club wamepata ushindi wao wa kwanza kwenye ligi ya soka Tanznaia bara baada ya kuwafunga Ruvu Shooting bao moja bila.
Goli la Simba la ushindi limefungwa na International Football Player kutoka Uganda Emmanuel Okwi kwenye dakika ya 78 ya mchezo. Sasa simba wana pointi tisa, na mpaka sasa Simba na Mtibwa sugar hawajapoteza mchezo hata mmoja.
Goli la Simba la ushindi limefungwa na International Football Player kutoka Uganda Emmanuel Okwi kwenye dakika ya 78 ya mchezo. Sasa simba wana pointi tisa, na mpaka sasa Simba na Mtibwa sugar hawajapoteza mchezo hata mmoja.
Ikiwa Haija Poteza Mchezo Hata Mmoja, Simba Yashinda Dhidi Ya Ruvu Shooting.
Reviewed by Unknown
on
Sunday, November 09, 2014
Rating: