Top Ad unit 728 × 90

.

Imetajwa Wilaya Inayongoza Kwa Ukatilia Wa Kijinsia Na Watoto Nchini Tanzania

 
Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania inaogoza kwa ukatilia wa kijinsia na watoto huku ikibainika kuwa watoto ndio wamekuwa wahanga wa kubwa katika jamii.

Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa Kilimanjaro Bi. Grace Limo wakati wa Uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Duniani.

Bi. Grace amesema watoto wengi katika wilaya hiyo wanathirika kwa kutumikishwa katika shughuli za kibiashara na kwa kuachishwa shule huku wengine wakilelea na wazazi ambao wamejikita kwenye ulevi wa Kupindukia.

Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook  
Imetajwa Wilaya Inayongoza Kwa Ukatilia Wa Kijinsia Na Watoto Nchini Tanzania Reviewed by Unknown on Friday, November 21, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.