Picha,Chris Brown Achora Mashairi Ya Wimbo Wa Tupac “Lord Knows” Kwenye Gari Yake'Lamborghini'
Mchora tattoo anayefahamika kama Michael “Huero” amemsaidia Chris Brown kuchora mashairi ya wimbo anaoupenda wa 2 Pac wa 'Lord Knows' kwenye gari yake aina ya Lamborghini.
Hizi picha nilizopata wakati inachorwa, mpaka kukamilika.
Picha,Chris Brown Achora Mashairi Ya Wimbo Wa Tupac “Lord Knows” Kwenye Gari Yake'Lamborghini'
Reviewed by Unknown
on
Friday, November 21, 2014
Rating: