Top Ad unit 728 × 90

.

Jibu La Sheta Alivyoulizwa Kuhusu Kufanya Kazi Na Ali Kiba,

Sheta ambaye ni miongoni mwa wasanii wanaofanya kazi na hit makers wa bongo kwenye nyimbo zake amezungumzia uwezekano wa collabo na Ali Kiba Kwenye exclusive interview na @sammisago.

Swali> Sheta Unampango wa kufanya wimbo wa Ali Kiba

Jibu [Sheta]> Sijafikiria kufanya kazi na Ali Kiba,Kwa sasa sina mpango wa kufanya wimbo na msanii wa nyumbani, naangalia International au nifanye wimbo mwenyewe,

Swali> Tungependa kujua wasanii wa nje unaopanga kufanya nao kazi

Jibu [Sheta]> Wako kama watano, uongozi unaangali yupi anafaa na atapatikana, siku tayari kusema majina sasa ila wimbo uko tayari.



Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook  
Jibu La Sheta Alivyoulizwa Kuhusu Kufanya Kazi Na Ali Kiba, Reviewed by Unknown on Wednesday, November 05, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.