Hizi Picha, Castle Lite Just Got Paid Ilivyokuwa
Mwishoni mwa wiki iliyopita
wakazi wa Dar es Salaam walijumuika katika party ya kujipongeza kwa
kuumaliza salama mwezi Oktoba iliyofanyika katika ukumbi wa Police
Officers Mess Oysterbay.
Party hiyo inayodhaminiwa na bia
ya Castle Lite kwa mara nyingine ilifana huku mamia ya waliohudhuria
wakitoka wakiwa wameridhika na burudani waliyoipata. Hizi ni baadhi ya
taswira toka katika Just Got Paid.
Hizi Picha, Castle Lite Just Got Paid Ilivyokuwa
Reviewed by Unknown
on
Wednesday, November 05, 2014
Rating: