Top Ad unit 728 × 90

.

Jipya Kuhusu Filamu Ya Nne Ya The Transporter.

Filamu ya "The Transporter Legacy" imetangazwa kutoka June 19 2015 ikiwa ni wakati mgumu sababu ya filamu kubwa kama "Paper Towns" na "Inside Out zitakuwa zimetoka.Sababu ya ubora na stori nzuri ya filamu hii, imeaminika kuwa itaweza kupambana kwenye soko.

Mwigizaji Jason Statham ataendelea kuigiza kama Frank Martin kwenye toleo la nne la filamu hii. 

Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook  
Jipya Kuhusu Filamu Ya Nne Ya The Transporter. Reviewed by Unknown on Thursday, November 06, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.