Huyu Star Ameripotiwa Kuwa Mpenzi Wa Mtoto Wa 'Arnold Schwarzenegger' Patrick Schwarzenegger.
Miley na Patrick wote wanamiaka 21 wameonekana kwenye sehemu tofauti za starehe na ata kusheherekea Halloween pamoja. Kabla Patrick hajaanza kutoka na Miley, alikuwa na msanii wa muziki wa Country Taylor Swift.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Huyu Star Ameripotiwa Kuwa Mpenzi Wa Mtoto Wa 'Arnold Schwarzenegger' Patrick Schwarzenegger.
Reviewed by Unknown
on
Thursday, November 06, 2014
Rating: