Kanye West Amruhusu Mke Wake Kim Kardashian Kupiga Hizi Picha Za Utupu
Rapper Kanye West ameweka wazi kuwa kuwa anakubali kila akifanyacho mke wake kwenye majarida tofauti. Kupitia twitter yake Kanye West ametwit picha ya Kim K iliyotumika kwenye jarida la Paper.
Kim Kardashian ametokea mtupu tena kwenye jarida la Paper Winters toleo la 2014.
Kim Kardashian ametokea mtupu tena kwenye jarida la Paper Winters toleo la 2014.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Kanye West Amruhusu Mke Wake Kim Kardashian Kupiga Hizi Picha Za Utupu
Reviewed by Unknown
on
Wednesday, November 12, 2014
Rating: