Kim Kardashian Awajibu Wanaosema Hana Kipaji,'Jaribuni kufanya Hivi Na Glasi'
Picha hizi zimeibua maneno mengi kuhusu Kim na Kanye West wanavyoishi,Kazi ya Kim K na imekuaje Kanye amruhusu mke wake kufanya hivi.Kim alitumia twitter kutoa huu ujumbe.
Kim K "Wanasema sina kipaji, jaribu kuweka glasi isimame kwenye makalio yako"
Hii ndio picha anayozungumzia Kim
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Kim Kardashian Awajibu Wanaosema Hana Kipaji,'Jaribuni kufanya Hivi Na Glasi'
Reviewed by Unknown
on
Friday, November 14, 2014
Rating: