Top Ad unit 728 × 90

.

Picha,Tyga Anazidi Kumkasirisha Drake,Afanya Video Na X Girlfriend Wake.

Rapper Tyga ambaye hivi karibuni alisema kuwa hampendi rapper mwenzake wa Young Money 'Drake' amezidi kuonyesha kuwa hana mpango wa kuwa mshkaji wake baada ya kumchukua aliyekuwa mpenzi wa Drake 'Dollicia Bryan' nakufanya naye video.
Dollicia ataonekana kwenye video mpya ya Tyga "Make It Work" ikiwa video hii inamistari ya kumdiss Drake kama "Ni**a never was my homey ... all these bitches know you corny ni**a."

Hivi karibuni Drake amekuwa akitumiana message mitandaoni na mama mtoto wa Tyga Blac Chyna. Inasemekana Tyga alimwambia Dollicia kuwa nakutumia wewe kwenye video ili Drake akasirike.

Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook   
Picha,Tyga Anazidi Kumkasirisha Drake,Afanya Video Na X Girlfriend Wake. Reviewed by Unknown on Friday, November 14, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.