Kuelekea 2015, Haya Mambo Mpya Kuhusu Rihanna.
Hivi karibuni Rihanna amewapeleka mabosi wake kwenye eneo la siri mjini New York ilikusikiliza nyimbo 10 ambazo ziko tayari ilikukamilisha album yake mpya na ya nane inayotarajiwa kutoka kabla ya mwaka 2015.Album ya mwisho ya Rihanna ni "Unapologetic" ilitoka 2012.
Inasemekana hivi karibuni Rihanna amebadilisha style ya mavazi yake ikiwa ni mpango wa kuficha umbo lake, Mara nyingi mastaa hufanya hivi wakiwa na kitu kipya kinakuja na hutaka muonekano wao kuwa Suprise kwa watu.
Kuelekea 2015, Haya Mambo Mpya Kuhusu Rihanna.
Reviewed by Unknown
on
Saturday, November 15, 2014
Rating: