Top Ad unit 728 × 90

.

Muongozaji Wa Video Tanzania Nisher Atoa Ujumbe Huu Kwa Wanaomkosoa Mitandaoni.

Nisher ni miongoni mwa waongozaji/mtayarishaji wa video aliyepitia changamoto nyingi mpaka kueleweka na wafuatiliaji wa kazi za bongo fleva.Kupitia Instagram yake Nisher ameandika haya maneno kwa wanaomkosoa kila mara kwa kuandika waraka tofauti kuhusu yeye na kazi zake.
Nisher Ametengeneza video kama Nasry-Nini. Ben Pol Ft Joh Makini-Unanichora, Nikki Wa Pili Ft Joh Makini Na G Nako-Nje Ya Box
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Muongozaji Wa Video Tanzania Nisher Atoa Ujumbe Huu Kwa Wanaomkosoa Mitandaoni. Reviewed by Unknown on Tuesday, November 04, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.