Top Ad unit 728 × 90

.

Cheni Ikiwa Ni Sehemu Ya Muonekano Wa Msanii,Hawa Wasanii Kumi Wanaopenda Kuvaa Cheni Kubwa Na Za Bei Ya Juu,

Marappa duniani wamekuwa wakitumia cheni wanazovaa kama kitu kinachowakilisha maana flani ya maisha au sanaa yake. Msanii 2 Chainz amepata jina hilo kwa kuvaa cheni mbili muda wote, Wasanii hutumia muda na pesa nyigi kutengeneza cheni hizi. Hi ni orodha ya wasanii wanaotumia pesa nyingi na wenye cheni za bei zaidi.

Young Jeezy

Cheni ya Young Jeezy ya “Certified USDA” imemgarimu dola $100,000.
T-Pain, Cheni yenye Karats 197, Thamani yake ni dola za Kimarekani $410,000.
 2 Chainz 
Plies

Chamillionaire anamiliki cheni ya almasi yenye thamani ya dola diamonds $100,000. Nelly Na wasanii wengine pia wana cheni kama hizi.

Yung Joc > $50,000.
Kanye West,Ilikuwa mwaka 2010,Cheni aina ya GI Joe Cobra, gharama yake ni dola $300,000
Sura ya Rick Ross kwenye cheni ya gold, Gharama yake ni dola $1,500,000
Sean Kingston, Thamani ya cheni ni dola $500,000
Wacka Flock Flame
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook  
Cheni Ikiwa Ni Sehemu Ya Muonekano Wa Msanii,Hawa Wasanii Kumi Wanaopenda Kuvaa Cheni Kubwa Na Za Bei Ya Juu, Reviewed by Unknown on Tuesday, November 04, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.