Top Ad unit 728 × 90

.

Navio Azungumzia Collabo Na Wasanii Wa Tanzania,Haya Ndio Majina Aliyotaja,Mmoja Alijibu Hivi.

Kwenye interview na rapper Navio kutoka Uganda, Sammisago.com imepata majina ya wasanii anaotaka kufanya nao kazi ndani ya muda huu mfupi atakao kuwa Tanzania. 

Rapper Navio amesema "Napenda sana kufanya kazi na Izzo Bizness, Diamond , Joh Makini Na Shaa kama atakubali alisema, Izzo nimemfuatilia sana, najua muziki wake na unaposema neno Bizness basi lazima Navia afanye kitu na wewe sababu I m all about Bizness

Izzo ambaye alikuwa akisikiliza kipindi aliandika twitter .

Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook   
Navio Azungumzia Collabo Na Wasanii Wa Tanzania,Haya Ndio Majina Aliyotaja,Mmoja Alijibu Hivi. Reviewed by Unknown on Tuesday, November 18, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.