Picha,Nicki Minaj Afanya Video Ya 'Only' Drake Na Lil Wayne Wapo,Chris Brown Je ? ,Yote Hapa
Rapper Nicki Minaj aliyechukua vichwa vya habari hivi karibuni baada ya cover la wimbo wake wa Anaconda kuwa gumzo mtandaoni yupo tayari kutoa video nyingine kabla ya mwisho wa mwaka huu.
Nicki ameanza kufanya video ya wimbo wake "Only" ambao humo tunasikia sauti ya Drake, Lil Waye na Chris Brown. Wimbo huu upo kwenye album ya tatu ta Minaj inayoitwa "The PinkPrint" inayotarajiwa kutoka December 15.
Kwenye hizi picha Chris Brown hajaonekana, je hayopo kwenye video ? hataki kuwa sehemu moja na Drake ? ni maswali yanayosubiri majibu.
Comment juu ya hii stori mwanangu niweke pale chini, Pamoja sana.

Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Nicki ameanza kufanya video ya wimbo wake "Only" ambao humo tunasikia sauti ya Drake, Lil Waye na Chris Brown. Wimbo huu upo kwenye album ya tatu ta Minaj inayoitwa "The PinkPrint" inayotarajiwa kutoka December 15.
Kwenye hizi picha Chris Brown hajaonekana, je hayopo kwenye video ? hataki kuwa sehemu moja na Drake ? ni maswali yanayosubiri majibu.
Comment juu ya hii stori mwanangu niweke pale chini, Pamoja sana.
Comment juu ya hii stori mwanangu niweke pale chini, Pamoja sana.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Picha,Nicki Minaj Afanya Video Ya 'Only' Drake Na Lil Wayne Wapo,Chris Brown Je ? ,Yote Hapa
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, November 18, 2014
Rating: