Picha Na Kuhusu Kesi Ya Chidi Benz Leo Mahakamani
Kesi
ya msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro aka 'Chid Benz' ya
kukamatwa na dawa za kulevya imetajwa leo katika Mahakama ya Hakimu
Mkazi, Kisutu Jijini Dar es Salaam na kuhairishwa tena hadi Desemba
mosi, mwaka huu.
Hii imekuja baada ya upande wa Jamhuri kuomba kesi hiyo ipelekwe mbele ili kukamilisha upelelezi.
Hii imekuja baada ya upande wa Jamhuri kuomba kesi hiyo ipelekwe mbele ili kukamilisha upelelezi.
Picha Na Kuhusu Kesi Ya Chidi Benz Leo Mahakamani
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, November 11, 2014
Rating: