'Niombeeni Kheri' Hii Twit Ya Chidi Benz,Anaomba Sala Zenu Wakati Anapanda Kizimbani Leo.
Rapper Chidi Benz aka Rashid Makwiro anapandishwa kizimbani Jumanne hii November 11 kwenye mahakama ya hakimu mkazi, kisutu Dar es salaam.
Chidi Benz anakabiliwa na mashtaka ya kukamatwa na dawa za kulevya hivi karibuni na alikuwa nje kwa dhamana.
Kupitia twitter yake Chidi Benz ameomba maombi yenu mashabiki kwa kuandika hivi "Kesho napanda mahakamani asubuhi pale kwa hakimu mkazi kissutu..niombeeni kheri koz najua wapo wanaonihitaji bado.#vitu mbali mbali "
Chidi alikamatwa na dawa za kulevya aina ya Heroine, vifaa vya kutayarisha matumizi ya dawa hizo na bangi mnamo 24 October 2014 akiwa kwenye kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, alikuwa anaelekea mjini Mbeya kikazi.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Chidi Benz anakabiliwa na mashtaka ya kukamatwa na dawa za kulevya hivi karibuni na alikuwa nje kwa dhamana.
Kupitia twitter yake Chidi Benz ameomba maombi yenu mashabiki kwa kuandika hivi "Kesho napanda mahakamani asubuhi pale kwa hakimu mkazi kissutu..niombeeni kheri koz najua wapo wanaonihitaji bado.#vitu mbali mbali "
Chidi alikamatwa na dawa za kulevya aina ya Heroine, vifaa vya kutayarisha matumizi ya dawa hizo na bangi mnamo 24 October 2014 akiwa kwenye kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, alikuwa anaelekea mjini Mbeya kikazi.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
'Niombeeni Kheri' Hii Twit Ya Chidi Benz,Anaomba Sala Zenu Wakati Anapanda Kizimbani Leo.
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, November 11, 2014
Rating: