Top Ad unit 728 × 90

.

Picha Za Nicki Minaj Kwenye Jarida La V,Jibu Lake Kwa Walioponda Video Ya Anakonda.

 
Rapper wa Young Money amezungumzia video yake ya Anakonda kupondwa na watu na kusema waliyoikosoa hawana haki ya kufanya hivyo, Kwenye interview na jarida la V mina anasema....

"Kama mwanaume angefanya nilichofanya kwenye Anaconda hakuna ambaye angekosoa, watu wanaacha kuongelea show zinazotukuza ngono kama victoria secret na show zingine zinazoonyesha nguo za ndani ila wananiponda mimi naye fanya hiphop"

 
 
 
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook  
Picha Za Nicki Minaj Kwenye Jarida La V,Jibu Lake Kwa Walioponda Video Ya Anakonda. Reviewed by Unknown on Thursday, November 06, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.