Baada ya kutangaza kurudi kwenye game la bongo fleva na kuzima kiu za mashabiki wengi, Ali Kiba amekuwa Ontop kwenye interview nyingi za vyombo tofauti vya habari. Ali Kiba amefanyiwa mahojiano na Jarida la Kitangoma. Jumatatu hii utapata kopi yako.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku piaInstagram , Twitter Na Facebook
Picha,Ali Kiba Kwenye Jarida La Kitangoma, My Talent Is Versatile.
Reviewed by Unknown
on
Friday, November 07, 2014
Rating: 5