Ata Baada Ya Kumuonea Iggy Azalea,Snoop Dogg Azungumzia Heshima Wanayopewa Rappers Wa Kike.
Rapper Snoop Dogg amesema wasanii wa kike wanaofanya rap wapewe heshima zaidi ya wanayopewa sasa kwenye game la rap
"Ma Mc wa kike hawapewi heshima wanayostaili kupewa, vyote vitambulike, muonekano wao na style yao ya kufanya muziki"
Snoop aliendelea kusema "Ndio maana wananiita Uncle Snoop sababu na onyesha upendo kwa kila mtu, awe mkubwa au mdogo kwenye game, wasanii wanaochipukia wote wana nikubali, napenda hiphop"
Alichosema Snopp nitofauti na kitendo cha hivi karibuni cha Rapper huyu kuwa na Beef na msanii anayekuja kwa kasi rapper Iggy Azalea, Snoop alimtani vibaya Iggy kitendo kilichopelekea wawili hawa kurushiana maneno makali mitandaoni. T.I Ndiye alimaliza beef lao.
Album mpya ya Snoop inatoka January 15,Imetengenezwa na Pharrell Williams.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Ata Baada Ya Kumuonea Iggy Azalea,Snoop Dogg Azungumzia Heshima Wanayopewa Rappers Wa Kike.
Reviewed by Unknown
on
Friday, November 07, 2014
Rating: