Top Ad unit 728 × 90

.

Picha,Tattoo Ya Ngwea Na Geez Mabovu Kwenye Kifua Cha Dark Master

 
Rapper wakundi la Chemba Squad Dark Master ametengeneza kumbukumbu nyingine kwenye maisha yake kwa kujichora tattoo yenye majina ya marehemu Ngwea na Geez Mabovu.

Akiwa ni member wa kundi alilokuwa Ngwea na mtu wa karibu wa Geez Mabovu Dark Master anasema hii misiba miwili ni pigo kubwa kwenye maisha yake.

Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook   
Picha,Tattoo Ya Ngwea Na Geez Mabovu Kwenye Kifua Cha Dark Master Reviewed by Unknown on Friday, November 21, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.