Roc Nation Ya Jay Z Imeanza Kusimamia Watu Maarufu,Huyu Mtangazaji Wa Kwanza Kuingia Kwenye Kipengele Hicho.
Mtangazaji wa Power 105.1 Angie Martinez amekuwa wakwanza kusimamiwa na Roc Nation ya Jay z kwenye kipengele cha kusimamia watu maarufu. Kwa mujibu wa mtandao wa Roc Nation mtangazaji wa Power 106 ndio mtu wa kwanza maarufu kusimamiwa na lebel hio.
Roc Nation inasimami wasanii kama Rihanna, Kanye West, Meek Mill na Big Sean.
Roc Nation inasimami wasanii kama Rihanna, Kanye West, Meek Mill na Big Sean.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Roc Nation Ya Jay Z Imeanza Kusimamia Watu Maarufu,Huyu Mtangazaji Wa Kwanza Kuingia Kwenye Kipengele Hicho.
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, November 04, 2014
Rating: