Show Ya Weusi Yahirishwa Kufuatia Kifo Cha Geez Mabovu,@nikkwapili 'Ela Sio Kila Kitu,We All Raping For Respect'
Msemaji wa kampuni ya Weusi Nikki Wa Pili Alitoa ujumbe Instagram "Ela sio kila kitu.. We all raping for respect...Tunapenda kuwatangazia ma fansi wetu wa Mbeya kuwa funga mwaka la Weusi...limehirishwa kutokana na kifo cha mwana Hiphop mwenzetu..R.I.P Geez Mabovu "
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Show Ya Weusi Yahirishwa Kufuatia Kifo Cha Geez Mabovu,@nikkwapili 'Ela Sio Kila Kitu,We All Raping For Respect'
Reviewed by Unknown
on
Thursday, November 13, 2014
Rating: