Hili Jibu La Iggy Azalea Baada Ya Kulizwa Kama Atafanya Wimbo Na Snoop Dogg.
Msanii wa Grand Hustle Records ya T.I Iggy Azalea ambaye hivi karibuni amezungumziwa sana na vyombo vya habari baada ya ya kupokea utani mbaya na matusi kutoka kwa Snoop Dogg amehojiwa kuhusu kufanya kazi na rapper huyo.
Swali >Iggy Azalea uko tayari kufanya wimbo wa na Snoop Dogg.
Jibu> Iggy Azalea> Hahahahhaha Je wewe ungekuwa kwenye nafasi yangu au ungekuwa mimi ungefanya nae kazi ?
T.I Ndiye aliyempugia simu Snopp na kumuomba aachane na msanii wake na wamalize beef ila Snoop na Iggy hawajapatana.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Swali >Iggy Azalea uko tayari kufanya wimbo wa na Snoop Dogg.
Jibu> Iggy Azalea> Hahahahhaha Je wewe ungekuwa kwenye nafasi yangu au ungekuwa mimi ungefanya nae kazi ?
T.I Ndiye aliyempugia simu Snopp na kumuomba aachane na msanii wake na wamalize beef ila Snoop na Iggy hawajapatana.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Hili Jibu La Iggy Azalea Baada Ya Kulizwa Kama Atafanya Wimbo Na Snoop Dogg.
Reviewed by Unknown
on
Saturday, October 25, 2014
Rating:
Reviewed by Unknown
on
Saturday, October 25, 2014
Rating: