Baada Ya Drake Kuchezewa Na Nicki Minaj,Video Na Picha Alichofanya Ashanti Kwa French Montana
Ashanti amekamilisha album yake mpya Brave Heart na sasa ni muda wa video kali na kujipangana show. Hii video mpya ya wimbo ambao amefanya na rapper French Montana unaitwa Early In The Morning. Hii ni mara ya tatu wanaonekana kwenye kazi moja wasanii hawa.
Awali walishirikiana kwenye No One Greater ya Ashanti mwaka 2012 na baadae Ashanti akaonekana kwenye video ya French Montana iliyoitwa R&B Bitches.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Awali walishirikiana kwenye No One Greater ya Ashanti mwaka 2012 na baadae Ashanti akaonekana kwenye video ya French Montana iliyoitwa R&B Bitches.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Baada Ya Drake Kuchezewa Na Nicki Minaj,Video Na Picha Alichofanya Ashanti Kwa French Montana
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, October 14, 2014
Rating: