Picha,Umeona Utani Wa Snoop Dogg Kuhusu Muonekano Wa Iggy Azalea Na Majibu Ya Iggy.
Snoop Dogg ametumia picha ya mwanamke Albino kumtania msanii Iggy Azalea October 12 kitendo kilichokera wengi.Picha imeambatanishwa na ujumbe unaosema “Iggy Azalea No Make Up”
Iggy Azalea alimjibu Snoop Dogg kwa mfululizo wa twits akimwambia hajawahi kumuongelea vibaya kokote ila anashangazwa na kitendo hicho cha Snoop Dogg.
Iggy Azalea alimjibu Snoop Dogg kwa mfululizo wa twits akimwambia hajawahi kumuongelea vibaya kokote ila anashangazwa na kitendo hicho cha Snoop Dogg.
Kumbe walishawahi kuwa washkaji sana mpaka Snoop kumualika kwenye kipindi chake.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Picha,Umeona Utani Wa Snoop Dogg Kuhusu Muonekano Wa Iggy Azalea Na Majibu Ya Iggy.
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, October 14, 2014
Rating: