Mbeya,Kuhusu Kijana Aliyewauzia Watu Nyama Ya Mbwa.
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linamshikilia mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Ahadi Jesikaka Mkazi wa Kijiji cha Ngyekye kwa kosa la kuwauzia watu nyama ya mbwa.
Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Kamishina
Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Ahmed Msangi amewataja watu waliouziwa na kutumia
kitoweo hicho kuwa ni Enock Nsemwa, George Nsemwa, Anyandwile Mbwilo wote
wakazi wa Ngyekye.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Mbeya,Kuhusu Kijana Aliyewauzia Watu Nyama Ya Mbwa.
Reviewed by Unknown
on
Thursday, November 06, 2014
Rating: